Sheikh Mamluki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Mamluki

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mohammed Shossi, Apr 16, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  mshkaji mmoja alizamia kwenye shughuli ya waislamu na ili apate kipaumbele akajifanya bonge la imamu si akaangusha dua huku watu wakiitikia ifuatavyo
  IMAMU ya tawfiq,
  WATU amin!
  ya tawheed amin
  ya tahfif amin
  ya shabiby amin
  ya taqwa amin
  ya abood amin
  ya hood amin
  ya takrim amina
  ya tashrifu amina
  ya tawaqal amina
  YA DAR EXPRESS WATU
  hee kumbe ulikuwa unatutajia majina ya mabasi acha wamtoe nduki! Jion njema
   
Loading...