Samwel0759
Member
- May 27, 2013
- 19
- 11
Mkristo kavamia Futari Msiktini. Baada Ya kula Shekhe Akamchagua Asome Dua Ya kushukuru! Jamaa Akatetemeka Sana kwa kuogopa ILa Akajikaza kiume. Akaanza: Ya Tawfiq
Watu: Amin
:Ya Habib
Watu: Amin
:Yaa Shabiby
Watu: Amin
:Ya Abood
Watu: Amin
:Ya Hood
Watu: Amin
:Ya Scandnavia
Watu: Mhhh
:Ya Dar Express
Watu: Aaaaaa,Kumbe anatutajia majina ya mabasi! Kamata Tia Bakora Mwanaharam huyo!!
Watu: Amin
:Ya Habib
Watu: Amin
:Yaa Shabiby
Watu: Amin
:Ya Abood
Watu: Amin
:Ya Hood
Watu: Amin
:Ya Scandnavia
Watu: Mhhh
:Ya Dar Express
Watu: Aaaaaa,Kumbe anatutajia majina ya mabasi! Kamata Tia Bakora Mwanaharam huyo!!