GE2025 Sheikh Kakulukulu: Amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Hakuna maendeleo bila amani, hivyo tuilinde

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Wakizungumza kwa pamoja, viongozi hao wamesema kila Mtanzania ana jukumu la kuilinda tunu ya amani iliyoasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakisisitiza kuwa uchaguzi usiwe chanzo cha mgawanyiko au vurugu.

“Amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Hakuna maendeleo bila amani, hivyo tuilinde kwa maneno na matendo yetu,” amesema Sheikh Kakulukulu.
Your browser is not able to display this video.
 
Naunga mkono hoja ya Sheikh Kakulukulu
P
 
Naunga mkono hoja ya Sheikh Kakulukulu
P
 
Wanatangaza amani huku wamenyanyua mapanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…