Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?
Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA...
Go to hell Ilunga......I really hate you and your followers!!!
Kwa kuwa nimeambatanisha na picha ya chanzo cha taarifa, mimi sina la kuongeza ni wewe kufuatilia zaidi kwa hicho chanzo.Msitake kutudanganya hapa. Sheikh Ilunga mbona kajificha hapa Singida na huwa anaishi kwenye nyumba moja jirani na Msikiti mkuu!!!
Msitake kutuaondoa kwenye agenda ya watu wanao pandikiza UDINI inayo chochewa na huyu Sheikh Ubwabwa.
Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?
Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA...
Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?
Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA... [/QU hivi baada ya nyerere nchi kakabidhiwa kikwete?! Maana kila anaemshutumu kikwete hulinganisha na kipindi cha nyerere mbona haiwi kwa maraisi wa awamu ya pili na ya tatu? Mnatumia vigezo vipi?
kua na akili mida flani mr zuzu. Usiwaze kuiga au kufuata upepo. Wenzenu wanawatumieni na kupata watakacho nyie mnatoa mapovu tu
Nauliza Swali; Wakati wa UTAWALA wa NYERERE --- kulikuwa na Viongozi wa DINI yake wakiongelea CHUKI DHIDI ya DINI NYINGINE kiasi hiki ?
Nyerere hakukandamiza kundi MOJA kwa Manufaa yake; Makundi Mengi ndani ya Nchi yalinyimwa baadhi ya UHURU wao ili tu NCHI iwe na AMANI na UMOJA... [/QU hivi baada ya nyerere nchi kakabidhiwa kikwete?! Maana kila anaemshutumu kikwete hulinganisha na kipindi cha nyerere mbona haiwi kwa maraisi wa awamu ya pili na ya tatu? Mnatumia vigezo vipi?
Umeona wapi shutma kwa Rais Kikwete?
mkuu,wewe unadhani kwanini kambarage aliunda BAKWATA?
Ujinga kufurahia matatizo ya mwenzako, wakati wewe mwenyewe aujui khatma yako ee Mola wasaidie waja wako hawa uwapunuzie chuki zao kwa wenzao.