Acha kumsingizia Mtume Mambo ya kishenzi............Mwanamke ni robo 3 ya uthamani ukiringanisha na Robo Moja ya uthamani aliyopewa mwanaumeHadith Za mtume s.a.w
Watu wa JPM mnaumia sana kuongozwa na mwanamke. Katiba ya nchi ndio inavyosema hivyo, ni matakwa ya kikatiba sio ya Magufuli wala Samia.Mwanamke hawezi kuongoza. Matokeo yake nchi inaongozwa kutokea Msoga.
Wewe inaonekana ni Muislam, labda watakuelewa vizuri zaidi.Acha kumsingizia Mtume Mambo ya kishenzi............Mwanamke ni robo 3 ya uthamani ukiringanisha na Robo Moja ya uthamani aliyopewa mwanaume
Na huu Ndio uislam
Ukitaka kufanya ihsan kwa wazazi wako mama ametajwa mara 3 na baba ametajwa mara moja
Rais sio Kiongozi wa msikiti wala sio kigango Raisi ni Taasisi Ndani yake wako Wanaume pia
Na wala hatuchagui Kiongozi kwa rejea reference za Bible Waka Qur'an sasa msitumie maandiko kujustify ujinga wenu majahili nyie
Hamtaki kuongozwa Na SSH nendeni mkaishi Ukraine wanataka watu kule
Mnaenda makazini mnamuachia mwanamke aleee watoto wenu nyumbani unakuta Mama ana Dini watoto Wana Dini baba hata Mungu halimjui kwa sababu watoto wamepata Mama Bora nyumbani
Mbona Mimi nashindwa kufungua mwenye mfumo huo ??Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Hujui kuwa ujerumani ina Rais mwanaume?Vipi kuhusu Angela Merkel? Ameongoza miaka mingapi Germany? Kitu gani kibaya kimetokea huko kwa sababu ya kuongozwa na mwanamke?
Kwani baba akifa kwenye urithi Nani anapata % kubwa?? Mtoto wa kike au mtoto wa kiume??Acha kumsingizia Mtume Mambo ya kishenzi............Mwanamke ni robo 3 ya uthamani ukiringanisha na Robo Moja ya uthamani aliyopewa mwanaume
Na huu Ndio uislam
Ukitaka kufanya ihsan kwa wazazi wako mama ametajwa mara 3 na baba ametajwa mara moja
Rais sio Kiongozi wa msikiti wala sio kigango Raisi ni Taasisi Ndani yake wako Wanaume pia
Na wala hatuchagui Kiongozi kwa rejea reference za Bible Waka Qur'an sasa msitumie maandiko kujustify ujinga wenu majahili nyie
Hamtaki kuongozwa Na SSH nendeni mkaishi Ukraine wanataka watu kule
Mnaenda makazini mnamuachia mwanamke aleee watoto wenu nyumbani unakuta Mama ana Dini watoto Wana Dini baba hata Mungu halimjui kwa sababu watoto wamepata Mama Bora nyumbani
Ila mkuu, kama ni ubaguzi basi itakuwa ameuanza Mungu, ilikuaje aanze kumuumba Adam halafu afuate Hawa/Eva? Je, Mungu alishindwa kuwaumba Adam na Hawa/Eva wote kwa pamoja?.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
Mafundisho ya kweli ya Uislamu kuhusu mwanamke wa Kiislamu na uongozi ni haya
P
Muislam koko huyo.Nenda Uarabuni ukawaambie Rais awe mwanamke. Watakupopoa mawe. Sehemu nyingine uarabuni mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari ...wewe huifahamu dini... Waache masheikh wenye kuifahamu dini. Haya mambo huyafahamu kajitike kwenye mambo yenu.
Umeelewa alichokisema sheikh?Bibi Aisha(mke wa Mtume),amepokea hadithi(maelekezo ya dini,nini tufanye waislamu na nini tusifanye)na ndio mpaka leo,tufuata miongozo ya Aisha na ni Mwanamke,hata huyo anayejiita Sheikh,mambo mengi,hata yanahusu mume na mke,tumepokea kutoka kwa Mwanamke huyu,Bi Aisha.Kwa hiyo uislamu,haijakataza uongozi wa mwanamke.
Umemuelewa sheikh lakini?Mtume hajakataza wanawake kuongoza.Leo waislamu tunafuata hadithi(miongozo ya uislamu),kupitia Bi Aisha,na hata huyo Sheikh,kuna mambo ya mume na Mke,anayafundisha na kutafuta kupitia Bi Aisha.Bi Aisha ni Mwanamke sio mwanamme.
Umemsikiliza na kumuelewa sheikh vizuri?Bi Aisha,tunatumia hadithi,(mafunzo aliyopekea),mpaka leo.Hadithi za Bi Aisha tunazitumia,mpaka hadithi zinaxohusiana za mume na mke,mpaka za chumbani,mpaka za kujitoharisha,tunazitumia.Na Bi Aisha ni Mwanamke,hapo hatujagusa wanawake wengine,kama kina Bi Khadija,Hafsa,Asma na wengineo.
Ninakubali bwashe.Mwanzo 3:16.....tamaa yako itakuwa KWA mumeo nae atakutawala" Uongizi alipewa mwanaume bwashee.Pia ongeza 1korintho 11:3 "kichwa cha kila mwanamume ni Kristo na kichwa mwanamke ni mwanamume na kichwa cha Kristo ni Mungu" pia 1korintho 11:6 ......mwanamke ni utukufu wa Mwanamume.Zaidi soma kutoka 18:17-27 kama utakuwa hujaelewa nitafte KWA maelezo zaidi
Umemsikiliza na kumuelewa sheikh?Umemaliza mjadala,huyo Sheikh Ubwabwa.Yupo Mwanamke anaitwa Balkiss,alikuwa mtawala,na Qur'an imetaja kisa chake.Na Qur'an haikupinga utawala wake.
Zipo Chapter,ndani ya Qur'an ,imeitwa kwa jina Maryam,na ni Mwanamke huyu.
Yupo Bi Asia,ametajwa ndani ya Qur'an.
Yupo Bi Aisha,mpaka leo waislamu ,dunia nzima,anawaongoza,kwa kufuata hadithi(miongozo),aliyopokea kutoka kwa Mtume Muhammad(S.A.W.).Mpaka miongozo ya mume na mke,kuanzia chumbani mpaka nje ya chumba.Wapo kina Bi Khadija,na wemgine kina Sumaiya,walipigana vita.Mama wa Nabii Musa,ametajwa,Mtoto wa kike wa huyu Mama wa Nabii Musa,ametajwa Kwenye Qur'an.
Umeelewa alichokisema sheikh lakini?Katika uislamu,hakuna ambaye ataingia Peponi(Paradise),ila kupitia kwa Mwanamke(mama),ikiwa hukumtendea mema mama yako mzazi(Mwanamke)hata uwe Sheikh,au ufanye ibada gani,pepo huipati.Pepo katika uislamu,iko chini ya nyayo za mama(Mwanamke).Kwa hiyo uislamu umemtukuza Mwanamke(mama),ufunguo wa pepo
Mwanamke katika uislamu,kapewa nafasi kubwa sana,ya uongozi,huyo Sheikh ubwabwa,anataka uongozi gani tena.
Hata katika kulea,katika uislamu,atakaye walea vizuri watoto wake wa kike,mpaka akawafanya harusi zao,basi pepo,imebakia kwake kutenda mema mengine,na kufanyiwa wema wazazi wake(hasa mama)ambaye ni mwanamke.Mama katika uislamu,amepewa daraja zaidi,kumtendea mema kuliko baba.
Sheikh,ubwabwa huyu,hajui huo ndio uongozi,ataka uongozi tena.Huwezi kupata funguo ya pepo,mpaka umfanyiwe wema mama yako(ambaye ni mwanamke).
Ikiwa huyo anayejiita Sheikh,kama hakumfanyia wema mama yake(Mwanamke),ufunguo wa pepo,hataupata,hata afanye ibada vipi.Hapo Mwanamke ,katika uislamu,hajakuwa kiongozi wako?Kwa maana huwezi kuingia Peponi ,mpaka umfanyie wema mama(Mwanamke).
Shida akina bagamoyo wanapinga tu bila kumsikiliza na kumuelewa sheikh.Wengi watamuandama sheikh kwa aliyoyahubiri ila si maneno yake bali ni maneno ya Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) .Na mtume wa Mungu hazungumzi kwa matamanio ya nafsi yake bali ni ufunuo kutoka kwa aliye juu zaidi, ALLAH subhana wa ta3ala.
Dola kubwa nyingi kama persian empire zilianguka pale ambapo masuala yao ya utawala waliowaachia wanawake.
Marekani licha ya upuuzi wao wote hawataki kuruhusu mwanamke awe rais wa nchi yao maana wanajua hizi historia.Hillary clinton alishinda kabisa urais ila alifanyiwa zengwe wakampatia urais Donald Trump.
Huna habari kwamba Papa ameifuta BIBLIAYuko sahihi.
Hata biblia haikubaliani na mwanamke kuwa kichwa yaani kiongozi mkuu bali tunalazimisha tu kibinadamu.
Uongozi wa mwanamke mgumu mno.
Nguvu ya mwanamke ni mwanaume.
Imeandikwa kuwa mwanaume ni kichwa yaani Kiongozi