GE2025 Sheikh Alhad: Tuwasihi Gen-Z wetu changamoto hazitatuliwi kwa uharibifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema changamoto wanazokutana nazo haziwezi kutatuliwa kwa vurugu bali kwa hekima na subira.

Akizungumza Jumatatu, Oktoba 27, 2025, katika Kongamano la Amani la Kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Sheikh Dkt. Alhad amewaomba wazazi, viongozi wa dini na jamii kuendelea kuwaelekeza vijana kuhusu thamani ya taifa lao.

“Niwaombe sana, katika wakati huu ambapo tunaelekea katika uchaguzi mkuu, tuendelee kusema vizuri na vijana wetu, Gen-Z wetu wa Kitanzania ambao ninaamini ni wasikivu sana, wanakubali nasaha na maneno mazuri. Tuendelee kuwanasihi juu ya thamani ya nchi yao — kwamba hawana mahali pengine zaidi ya Tanzania,” amesema.

Sheikh Dkt. Alhad, ambaye pia ni Balozi wa Amani Duniani kupitia Shirikisho la Amani Duniani (UPF), amesema kuvuruga amani ya nchi ni sawa na kuharibu jahazi linalowabeba wote, na kwamba kuiharibu Tanzania kisha kufikiria kuijenga upya ni “ndoto za alinacha.”

“Tuwasihi vijana wetu kwamba kuiharibu nchi kisha kufikiria tena kuitengeneza ni jambo lisiloingia akilini. Tunajua vijana wana changamoto nyingi, lakini changamoto hazitatuliki kwa uharibifu — zinatatulika kwa utaratibu. Tusikubali kudanganywa na wale wasiolitakia mema taifa letu,” amesisitiza.

Kongamano hilo, lenye kaulimbiu “Kupiga Kura ni Haki Yetu, Kulinda Amani ni Wajibu Wetu,” limehudhuriwa na viongozi wa dini, serikali na wadau wa amani, ambapo Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwakilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.
 
Huyu matako kumbe bado yupo, tumeonewa vya kutosha na wewe ukiwa mmoja wao wa hao Samia, Abdul na hao police wao. Tumechukizwa kwa hiyo tuache nyumba zenu? Tutawachoma hasa wewe hadi muive kama viazi.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema changamoto wanazokutana nazo haziwezi kutatuliwa kwa vurugu bali kwa hekima na subira.

Akizungumza Jumatatu, Oktoba 27, 2025, katika Kongamano la Amani la Kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Sheikh Dkt. Alhad amewaomba wazazi, viongozi wa dini na jamii kuendelea kuwaelekeza vijana kuhusu thamani ya taifa lao.

“Niwaombe sana, katika wakati huu ambapo tunaelekea katika uchaguzi mkuu, tuendelee kusema vizuri na vijana wetu, Gen-Z wetu wa Kitanzania ambao ninaamini ni wasikivu sana, wanakubali nasaha na maneno mazuri. Tuendelee kuwanasihi juu ya thamani ya nchi yao — kwamba hawana mahali pengine zaidi ya Tanzania,” amesema.

Sheikh Dkt. Alhad, ambaye pia ni Balozi wa Amani Duniani kupitia Shirikisho la Amani Duniani (UPF), amesema kuvuruga amani ya nchi ni sawa na kuharibu jahazi linalowabeba wote, na kwamba kuiharibu Tanzania kisha kufikiria kuijenga upya ni “ndoto za alinacha.”

“Tuwasihi vijana wetu kwamba kuiharibu nchi kisha kufikiria tena kuitengeneza ni jambo lisiloingia akilini. Tunajua vijana wana changamoto nyingi, lakini changamoto hazitatuliki kwa uharibifu — zinatatulika kwa utaratibu. Tusikubali kudanganywa na wale wasiolitakia mema taifa letu,” amesisitiza.

Kongamano hilo, lenye kaulimbiu “Kupiga Kura ni Haki Yetu, Kulinda Amani ni Wajibu Wetu,” limehudhuriwa na viongozi wa dini, serikali na wadau wa amani, ambapo Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwakilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.
Shehe, wewe ukiwa Kiongozi wa kidini, ni vizuri ushauri huu, uwape viongozi kufanya mema , itakuwa Bora zaidi, Badala ya kuwahimiza vijana. Hujitendei Haki wewe na wajukuu zako
 
Back
Top Bottom