Sheikh adai anafuturisha Majini

Sheikh adai anafuturisha Majini

Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini


View: https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/

Hana tofauti na wanadai kutenda miujiza. Je yuko tayari kukaribisha watu wengine lau washuhudie ndiyo waamini au ni rongorongo za hawa jamaa waoenakane kuna mambo wanajua ili kuvutia wateja wao hasa akina mama waliovurugikiwa maisha?
 
Back
Top Bottom