nasaluka
Senior Member
- Jun 20, 2015
- 149
- 184
Yaani hawa jamaa wanaokuletea poroja wanakusaidi sana maana unalazimika kufunguka sana ili kuwaumbua na hapo ndipo sisi wafuasi wapya tunapopata mengi zaidNyiokunda,
Historia hii inasomeshwa sasa vyuo vingi duniani.
Binafsi nimetoa mihadhara University of Iowa na University of Northwestern
kuhusu historia hii unayoiita, ''mpya.''
University of Iowa Department of African History nitafute katika hilo
kundi hapo juu utaniona.
Nimeshiriki katika uandishi wa Dictionary of African Biography (DAB) mradi
wa Oxford University Press na Harvard.
Soma hapo chini kutoka DAB:
Historia hii haipo JF tu bali iko kwingi duniani.
Hapo chini Prof. James Giblin wa University of Iowa akionyesha nakala ya kitabu cha
Abdul Sykes toleo la kwanza 1998 ofisini kwake.
ningewashauri wapinzan wa Moh'd said wakiona andiko lake waliache tu itawasaidi kuficha ukweli wasioutaka.
Sasa kwa mfano ushahidi km huwa unaowasilishwa unaupingaje kwa mtu mwenye akili km sio kuleta bla blaa ambazo "darasa"hataki kusikia