Sheikh ambalo
kwetu lina maana ya
mwanachuoni lakini
katika lugha ya
Kiarabu lina maana
ya uzee, utemi,
uchifu, uongoz
nafikiri mpaka hapo imeeleweka kiongozi
Nimekupata mkuu, ila huyumleta Uzi sijuianamzungumzia shekh gani kati ya haouliowataja, sababu hapa tunaweza kuchanganya mambo.