Sheikh abaka mabinti mapacha Kigoma

Sheikh abaka mabinti mapacha Kigoma

Status
Not open for further replies.

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Sheikh mmoja mwenye umri wa miaka 45 ambaye pia ni mganga wa kienyeji amebaka mabinti wawili ambao ni mapacha umri miaka 14.

Kwa taarifa kamili soma gazeti : TANZANIA DAIMA leo.
 
Walipelekwa Kwa Huyo mganga anayejiita Sheikh, na Baba Yao ili! Waongezewe akili darasani na ulinzi. Ni watoto wa kaka yake na Asha Baraka. Tukio limetokea Kigoma
source. Clouds fm kwenye uchambizi wa magazeti, ni gazeti la Tanzania Daima
 
Tunaharibiana siku jamani tafadhari.

ukishasema ni mganga hawez kuwa shekh,huyo mwandish ana fikra finyu ya uchambuz,alipaswa aandike,Mganga wa kienyeji abaka mabinti mapacha kigoma,ageheshimika,lakin kwa uandishi huo anaonekana si mwerevu wa mambo,
 
ukishasema ni [size=+2]mganga hawez kuwa shekh,[/size] huyo mwandish ana fikra finyu ya uchambuz,alipaswa aandike,Mganga wa kienyeji abaka mabinti mapacha kigoma,ageheshimika,lakin kwa uandishi huo anaonekana si mwerevu wa mambo,

Unashangaa nini Mganga kuwa Sheikh?
Mbona wapo wengi tu wa aina hiyo?
Na Sheikh Yahya Hussein hakuwa mganga na mtabiri wa nyota?
 
Mbona mashehe weng na maustadh ni waganga huku mtaani au waatudanganya? Wanaojua tupeni uhusiano uliopo kati ya mashehe na uganga

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukiwa mganga unapoteza sifa ya kuwa shekhe, uwezi kuongoza watu kwa sababu unapiga ramli, na ramli imekatazwa katika dini
 
Ingekuwa vizuri tukapata maana ya neno "shekhe" manayake nini.
 
Ukiwa mganga unapoteza sifa ya kuwa shekhe, uwezi kuongoza watu kwa sababu unapiga ramli, na ramli imekatazwa katika dini

Ni kweli mkuu, lakini haya mambo yapo na mifano hai ipo.
Kwanini basi wale Masheikh na Maustaadh wanaofanya mambo ya uganga wa kienyeji wasipigwe ban kwa ajili ya kulinda misingi na maadili ya dini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom