Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,434
- 6,516
Maandalizi ya shambulio la Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran yanasemekana yanakaribia kukamilika, huku hatua za mwisho, ikiwa ni pamoja na upelekaji wa silaha na mipango ya uendeshaji, zinaendelea kwa sasa, kulingana na Channel 12.
Kuanzia mwezi uliopita ndege kubwa za mizigo zimetua huko Israel na Mashariki ya kati kwa ujumla. Shehena hizo ni katika kufanikisha shambulio tarajiwa la Israel dhidi ya vinu vya kinyuklia za Iran kama mazungumzo yatashindikana kati ya Iran na Marekani.