Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
#Habari:Shehena ya bidhaa mbalimbali zenye thamani ya mamilioni ya shilingi ikiwemo vipuri vya magari kutoka nchi tofauti za Pakistan, India na Ubelgiji zimekamatwa katika bandari bubu ya Kigombe iliyopo wilayani Muheza wakati zikiingizwa nchini kinyume cha sheria bila kulipiwa ushuru.