Shehena ya Bangi yateketezwa Tarime

Hivi wakiwa wanauchooma moto huu mzigo wanakwepaje moshi?? Maana sioni wakiwa wamevaa vikinga pua vyovyote.....Wakitoka hapo wote wako kama Snoppy Dog Dog🙂
 
Yaani hapo kijiji kizima kinavutishwa bangi bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…