Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 174 Jan 1, 2010 #1 Wakuu, Hebu na tujuvyane sawia huu mwaka mpya umesheheni mambo gani. Nalianzisha, tafadhali orodha iendelee Mwaka ambao hakuna hata kiongozi mmoja wa baraza la mawaziri la kwanza-Tanganyika huru aliyeko hai Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania Mwaka wa kuanzishwa kwa sarafu moja ya Afrika mashariki Mwaka wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Mwaka wa michuano ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza inafanyika barani Afrika Mwaka wa kimataifa wa biodiversity Mwaka wa...
Wakuu, Hebu na tujuvyane sawia huu mwaka mpya umesheheni mambo gani. Nalianzisha, tafadhali orodha iendelee Mwaka ambao hakuna hata kiongozi mmoja wa baraza la mawaziri la kwanza-Tanganyika huru aliyeko hai Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania Mwaka wa kuanzishwa kwa sarafu moja ya Afrika mashariki Mwaka wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Mwaka wa michuano ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza inafanyika barani Afrika Mwaka wa kimataifa wa biodiversity Mwaka wa...
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Jan 1, 2010 #2 mwaka ambao wanajf karibu wa4 wanaoa!
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Jan 1, 2010 #3 Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!!
Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!!
Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 174 Jan 1, 2010 Thread starter #4 PakaJimmy said: mwaka ambao wanajf karibu wa4 wanaoa! Click to expand... Habari njema hii, naomba ujumbe kwenye kamati japo moja, ha ha ha ha!
PakaJimmy said: mwaka ambao wanajf karibu wa4 wanaoa! Click to expand... Habari njema hii, naomba ujumbe kwenye kamati japo moja, ha ha ha ha!
Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 174 Jan 1, 2010 Thread starter #5 Bulesi said: Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!! Click to expand... Masahihisho yamepokelewa. Waweza kuwa na taarifa za umri wake kwa sasa na mtazamo wake kuhusu kile kinachojiri nchini. Yamkini taifa laweza kutega sikio kwake ili kuchota busara na ushauri baada ya wenzake wote kutangulia mbele ya haki.
Bulesi said: Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!! Click to expand... Masahihisho yamepokelewa. Waweza kuwa na taarifa za umri wake kwa sasa na mtazamo wake kuhusu kile kinachojiri nchini. Yamkini taifa laweza kutega sikio kwake ili kuchota busara na ushauri baada ya wenzake wote kutangulia mbele ya haki.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Jan 1, 2010 #6 Bulesi said: Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!! Click to expand... Pamoja na Sir George Kahama!
Bulesi said: Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!! Click to expand... Pamoja na Sir George Kahama!
Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 174 Jan 1, 2010 Thread starter #7 PakaJimmy said: Pamoja na Sir George Kahama! Click to expand... Naona info toka blog ya michuzi imenilisha kasa. Uko sahihi
PakaJimmy said: Pamoja na Sir George Kahama! Click to expand... Naona info toka blog ya michuzi imenilisha kasa. Uko sahihi