Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,366
- 835
Shehe mkuu wa drs amesema waisilamu walienda kufanya nini kwenye bucha ya wakristo, bucha la yesu, walichinjia kanisani na wakapeleka kwenye bucha lao, lenye alama ,wakristo nao wanaruhusiwa kuchinja, wakauziana,hawana kibudu, kitu gani kilicho wafanya wakaenda kwenye hiyo butcher?
chanzo radio wapo(patapata)
chanzo radio wapo(patapata)