Sugar wa Ukweli
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 373
- 40
Wanabodi baada ya ajira ya kuwa ngumu nimeamua kuwa mjasiliamali.karibu tuungane mkono Giraffe hotel mbezi beach kila siku kuanzia saa 11 za jioni
angalia picha nimeweka sasa hivi inajielezaSijakusoma. Unatoa huduma gani??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nimekuelewa ndugu yangu,ila hiyo ya sheesha ndio inanihusu zaidiSugar wa ukweli.. kwanini usitangaze huduma zote ambazo ziko hapo hotelini, ili hata sisi tusio wa sheesha tuweze pia kujumuika kukuunga mkono, naona kama umetangaza sheesha tu, huoni kuwa unapunguza wigo?
sheesha ndio nini? NImengalia picha lakini nimeshindwa kugundua. Samahani kwa ujinga wangunimekuelewa ndugu yangu,ila hiyo ya sheesha ndio inanihusu zaidi
sheesha ndio nini? NImengalia picha lakini nimeshindwa kugundua. Samahani kwa ujinga wangu
tunavuta mibangeeee au nn sasa , kuhusu afya ya wavutaji nayo vipi?
Da! Sisi tusio wavutaji sidhani kama inafaa kusogelea hapo. Kila laheri katika biasharani starehe ya uvutaji wenye flavor mbali mbali,tutembelee uelewe/ujionee kwa vitendo
Dah Sugar hiyo kitu niliona Malaika Hotel pale Mwanza ina kuwa na ladha mbalimbali na zinanukia vizuri hizo sijui tumbaku tatizo nilimuona mwanadada wa kimanga alikuwa na jamaa yake wa kizungu baada ya kuupuliza moshi nikaona anaanza kama kulegea vizuri ni kama dame kanywa konyagi,jicho lilimtoka kama vile kala kungwi tayari kwa kuimba taarabu ya mahaba,loh haya hongera kwa ujasiria maliangalia picha nimeweka sasa hivi inajieleza
sheesha ndio nini? NImengalia picha lakini nimeshindwa kugundua. Samahani kwa ujinga wangu
madam nikija na bangi yangu utafanya mpango wa kuiweka kwenye huo mtandao wako hope itakuwa poa lol
Dah Sugar hiyo kitu niliona Malaika Hotel pale Mwanza ina kuwa na ladha mbalimbali na zinanukia vizuri hizo sijui tumbaku tatizo nilimuona mwanadada wa kimanga alikuwa na jamaa yake wa kizungu baada ya kuupuliza moshi nikaona anaanza kama kulegea vizuri ni kama dame kanywa konyagi,jicho lilimtoka kama vile kala kungwi tayari kwa kuimba taarabu ya mahaba,loh haya hongera kwa ujasiria mali
Michezo ya watu wazima ya kuchezea moshi kwa mdomo
Da! Sisi tusio wavutaji sidhani kama inafaa kusogelea hapo. Kila laheri katika biashara
Ok, nashukuru. Nikipata wa kumsindikiza nitakuja nayeunaweza msindikiza mwenzi wako,tutashukru sana! :clap2::clap2::clap2::clap2:
sheesha ndio nini? NImengalia picha lakini nimeshindwa kugundua. Samahani kwa ujinga wangu