jana ktk pitapita zangu humu nilikutana na comment zenye chuki na hasira dhidi ya wanawake za huyu anaetumia id ya shebeneza! wanawake walimkosea nini? mbona amepotea tena? au tayari ameshapigwa total BAN? Mimi nina aleji na hili jukwaa la mmu ila huyo jamaa alinishangaza sana! kwa maelezo zaidi nitembelee jukwaa la habari na hoja mchanganyiko!