BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Kwa yeyote au mfanyabiashara aliyefanikiwa je ni vitabu vipi vya kupata ufahamu au uelewa kuhusu biashara iwe ya kuuza product(bidhaa) au kutoa service (huduma) kwa customers (wateja), au kua RICH.
Ukitoa jina la kitabu basi vema uweka na picha yake.
Nitaanza na hii hapa ya Ben Carson "Think Big"
Pia kama una soft copy ya kitabu chochote unachopendekeza kulingana na mada husika basi sio mbaya uka kiweka hapa wadau tukipakue(download) ili kitusaidie na wengine.