Kabisa kabisa, tatizo ni moja sio sababu ya kubadilika tu, vipi ukaowe mwanamke ambaye wazazi wake hawakupendi?
Ukisoma swali la mtoa mada anasema wazazi wake hawataki wawe na uhusiano, na kama huyo binti wazazi wake hawataki wawe na uhusiano naye....sidhani kama anaheshima kama anavyo dai mtoa mada.
Heshima inanza nyumbani, huyo ni wale wanao act tu, mana kama hawaombi samahani wazazi wake walio mzaa na hawasikilizi...vipi akaombe samahani kwa asiye mzaa...Inataka akili kugundua mtego huo.