Heshima kwenu wana MMU!
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza kudate nae mwaka Juzi so tuna kama 2yrs now!
Before dating her she was my friend so nimemjua kama 7yrs ago since tukiwa tunasoma O'level
Katika uhusiano wetu tumeishi tu vizuri na nampenda sana na yeye pia ananipenda Japo huko nyuma alikuwa hana ile too much caring na saa nyingine huwa nilikuwa nashindwa kumwelewa kama ananipenda sana au ananichukulia tu, japo akawa anabadilika japo taratibu sana! All those two years ameonesha mabadiliko japo sio makubwa sana!
Sasa jana akaniambia kuna kitu anataka kushare na mimi nikamwambia its ok!
Ndo akaanza kuniambia kipindi yuko O'level alitokea kumpenda sana kaka mmoja she said alimpenda sana yule kaka, japo yule kaka hakujua kama huyo mpenzi wangu anampenda na kutokana na maadili ya kiAfrica hakuweza kumwambia kuwa anampenda, hiyo hali alianza akiwa form one ikaenda hivo hadi form four akiwa anampenda tu ila yule kaka hajui na hakurealise hilo.
Sasa siku moja huyo kaka akawa amemwambia huyo mpenzi wangu kuwa He is inluv with her friend!(yaani mpenzi wangu alikuwa na rafiki yake ndo huyo jamaa akawa amempenda)!
From there she told me she was hurted so much, she hated something called LOVE, she hated every man who came to her saying He luv her!
Na kiukweli nilipataga sana shida kwenye kumtongoza alinikataaga kama mara tatu tofauti within 6 months mara ya nne ndo akakubali japo kwa shingo upande toka hapo effort kubwa imekuwa inatoka kwangu kwenye kumpenda ila yeye akawa anatake it too easy!
Jana akaniambia at least I have showed her kwamba she can luv again(na nimeanza kuona hili)
akaniomba nimsaidie hadi arudi kwenye hali ya kawaida!
Na kwa kweli jana nimepata majibu ya maswali meng sana ambayo nimekuwa najiuliza juu yake!
Why dont she care?
Kwa nini ni muoga sana kwenye mambo ya mapenzi?
Sasa wanaMMU naombeni ushauri wenu!
Mtu kama huyu namsaidiaje ili arudi kwenye hali ya kupenda tena bila kuogopa?
Najua kuna wengine humu walishapitiaga hali kama hii Je mlifanyaje hadi mkarudi kwenye hali yenu ya kawaida?
Naombeni ushauri I want to make her love deeply again!