She is not my standard

Kwa mimi Elimu sio issue, hiyo form four mbona kasoma...na kichwa cha familia ni baba....pia elimu haina mwisho wako wengi wameolewa na wanasoma vile vile....Na wapo wamama ambao hawajasoma ila wanavipaji tofauti tofauti na wanaziendeleza familia zao na kufanya mambo ya maendeleo.

Tatizo ni hilo je atakuwa katulia? Katembea na friends wako duuhh....

Anyway mwenye kupenda ni wewe sikiza moyo wako...


 

Mama yangu anajua kuandika jina lake tu na sahihi basi na kupiga hesabu ya pesa kwa kichwa tu.Lakini yupo well organised kuliko mzee na bila mama shule yetu sisi watoto ilikuwa mashakani
 

Mbuzi akifia kwa muuza supu huwa hatupwi jamaniiiiiiiiii
 
 

wew kidembe kama una amin kuwa mke mwema hutoka kwa mungu mchunie kwa mda maana uko mbali nae then mungu atamleta anae kufaa.sali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…