She is not my standard

dikembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
1,645
Reaction score
1,439
Miaka mitatu iliyopita nilikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nikamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nilikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nikatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena, nikamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

Kikwazo ni hiki, katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Ameshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenzi tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE
 
Lakin huoni kama ww ndo uliyekosea toka mwanzo? ulijua kabisa kwamba hujamsimamisha ww, ulijua kwamba elimu yake ni Form 4 na ww una degree 2. Haya muoe sasa maana yeye kakupenda na kama Vp muendeleze kielimu ili asiwaze ngono.
 
Lakin huoni kama ww ndo uliyekosea toka mwanzo? ulijua kabisa kwamba hujamsimamisha ww, ulijua kwamba elimu yake ni Form 4 na ww una degree 2. Haya muoe sasa maana yeye kakupenda na kama Vp muendeleze kielimu ili asiwaze ngono.
Huwa najuta kwa makosa kama hayo, but amini nilisemalo mimi, binti hana wazo lolote zaidi ya penzi, alikua kicheche kama asemavyo yeye, but anakiri nimembadilisha sana, lakini lengo langu halikua kumwoa, kwani ntaangaliaje washkaji ambao woote wamepita? hebu fikiria kama wewe ndio mimi..
 
we jamaa huna lolote....ushamla binti wawatu, unaanza kuleta sababu zako hapa!....we mtengeneze huyo demu , kama kawza kuacha umalaya hop pia unaweza kumfanya awaze maendeleo (kama unavyosema)!
 
Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari? Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!
 
hyo ndo faida ya kugegeda ovyoo! ushaur wangu ni kwamba mwambie tu ukwel kwamba huwez kumuoa atafute mtu mwingine.. ila angalia asije akakwendea kwa kalumanzira.
 

japo mimi ni mwanamke lakini siwezi kukushauri kumuoa huyo binti, na si kwasababu ya swala la elimu hapana, elimu haihusiani kabisa na mapenzi ni hizo tabia zake zingine kwa kweli hapana, cha msingi kata mawasiliano na yeye hapo unapoishi kama umepanga hama tena kimya kimya asijue unapoenda kuishi i hope hajui unapofanyia kazi
 
Mapenzi na degree mbili wapi na wapi jaman?au ndo umemchoka binti wa watu mkuu?

Degree sio kigezo, jinsi anavyo behave mie ndio siwezi. yuko kiswahili sana. mtu wa mitoko mno
 

Mmmmmh tema mate tumchape!!!
 
Aksante sana dada yangu, hapo ninapokaa nimejenga but naweza kuhamia sehemu nyingine, kuhusu kazini kwangu hapajui ila na sijui hata kama anajua professional yangu.
 
hyo ndo faida ya kugegeda ovyoo! ushaur wangu ni kwamba mwambie tu ukwel kwamba huwez kumuoa atafute mtu mwingine.. ila angalia asije akakwendea kwa kalumanzira.
Nimemwambia maranyingi, mwanzo alikua anaelewa but siku hizi hataki kusikia, nimemwahidi kumsaidia kimaisha na atafute mtu hataki hiyo habari,
nshampa mtaji wa biashara kakataa, anasema hana dhiki na hela zangu.
 
Wanawake kujiua eti kisa kupenda ni ngumu sana anazingua huyo
Ungekuwa unamfahamu, nadhani usingesema chochote, sasa hivi niko nje ya tz, huko mtaani anatangaa kwamba nkirud namuoa.....afu watu wote wanamjua tabia zake, nshafatwa na baadhi ya wamama watu wazima na kunionya niachane nae na wanasema inawezekana kaniendea kwa mganga, but hua mi siamini hivyo vitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…