She is a nurse...

:nod::nod: Nakukubali!!! Vigezo na masharti kuzingatiwa Mpendwa wangu.

mtoto mzuri anakalio kubwa kama trekta sura mashallah,.. kifuani unaweza fanya mto... sauti nyororo kama anaimba akiongea loh... mtoto mahaba anayajua akikuangalia tu unataka kazi mmmh nisiseme tena
 
Afu una makusudi wewe,, unantamanisha kijana mwenzio!!!!! Bahati mabaya mi sio mfuasi wa kalio aisee ila sio disqualification.
mtoto mzuri anakalio kubwa kama trekta sura mashallah,.. kifuani unaweza fanya mto... sauti nyororo kama anaimba akiongea loh... mtoto mahaba anayajua akikuangalia tu unataka kazi mmmh nisiseme tena
 
miss chagga usimalize utamu wote bana si unajua Tized na Excel wako humu wanatuangalia
Hayo ni yangu kuja kukupa sifa baada ya raha yote kupeana
nakuachia nafasi hapo bana ila usitoe sifa zako wadau wengi hapa wameweka masikio kama ungo wanasikiliza
 
Last edited by a moderator:

what goes around comes around!! Refer to you are thread titled WAMEADHIBIWA NA DUNIA uliopost leo saa 10.28


 
mkuu hio kauli nimeiona! lakini Mr Rocky anadai kuwa wote mko team rafiki! so katiba yenu sijaelewa kama inaruhusu kuchafuana ama kusafishana? sielewi hilo infwakti!
Aisee mangee miss chagga usimsikilize Mr Rocky anataka kunichafua.... Mkuu Excel umeielewa vizuri hii statement?

Tized hapo ushaachwa miss chagga ananisikiliza sana na nitakuwa nae kwa raha na shida ila sio kwenye kutenda dhambi
Kutenda dhambi nawaqachia wewe na Excel
miss chagga.. sielewi huu uhusiano ni wa vipi!! naomba uniambie kabla sijasema chochote...!!!

nyie wote si ni #teamR ?... Mibembelezano yenu sijaipata vizuri! lols!

naona tu mnalainishana...
 
Last edited by a moderator:
nimedinda gafla ofisin ata kuamka nashindwa..mamaaae...
 
Kama masikio yangu yananasa hadi PM kulaleki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…