....ahhh, hakuwa na Plan B tu....
Ukiamua kula cha haramu, uwe na akiba ya maneno na vitendo Just incase litabumburuka!
....aaa wapiii...uyazungushe macho?!
hahaha...kaka kuna mbinu nyingi mbadala za kumfanya
Mfumanizi ajiskie kama yeye ndio amekukosea adabu kiasi cha kumfanya aanze kukuomba samahani.
Uje tu bongo huo mtandao tuwaexpose wanaotuibia
Hivi hata ukija at the end of the day tutakuwa tume curb cheating? Hawa wanaume lini tutakubali kuwanyooshea vidole kwamba wao ndio culprits and thus wawajibishwe? hahah. ngoja waje.