She is a homewrecker

...NN yote tisa 10 ni Cheaters episodes.

asalaaale!.....hii isije Bongo kaka....wataua!
Nimemzoea presenter Joey Greco....jamaa nuksi balaa!
 
Reactions: BAK
...NN yote tisa 10 ni Cheaters episodes.


Dah! Too painful, tears welled in my eyes. if only people took a minute to think about the consequences of their actions..... we are not always rational... Am just saying.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
bila shaka wewe ni mshabiki wa yanga!! don't ask me why and how I knew!

:cheer2:
What A Day!.. Azam FC 3 - 2 Yanga SC at Taifa Stadium
Man City FC 4 - 1 Man Utd FC at Etihad Stadium... 22 Sept 2013 19:50:25
​
 
Dah! Too painful, tears welled in my eyes. if only people took a minute to think about the consequences of their actions..... we are not always rational... Am just saying.

inauma kama nini chezea kipendacho roho wewe..
 
Umeoona eeh!!! Mkuu Mbu na hivi bastola zilivyokuwa nje nje siku hizi wengi wataishia kuzimu.

asalaaale!.....hii isije Bongo kaka....wataua!
Nimemzoea presenter Joey Greco....jamaa nuksi balaa!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Dah! Too painful, tears welled in my eyes. if only people took a minute to think about the consequences of their actions..... we are not always rational... Am just saying.
Remember, what doesn't kill you.................................................................
 
JF wanaweza kuweka jukwaa rasmi la mambo hayo....mbona itakuwa patashika nguo kuchanika!!!! lakini wazushi pia watakuwepo ili kuharibu ndoa za wenzao.

It's just a matter of time kabla mtandao huo haujaanzishwa bongo. Itakuwa kizungumkuti na patashika hapa mjini
 
JF wanaweza kuweka jukwaa rasmi la mambo hayo....mbona itakuwa patashika nguo kuchanika!!!! lakini wazushi pia watakuwepo ili kuharibu ndoa za wenzao.
Tatizo ni kuwa kuna watu wata-take advantage ya kuharibu reputations za wengine kwa sababu tu fulani hapatani na fulani kwa sababu nyingine kabisa nje ya hizo za mapenzi, perhaps sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.
Hutakawia kuona mtu labda yuko successful kifedha etc. basi kuna mtu akamonea wivu na kuamua kummaliza kwenye huo mtandao. Pengine kungekuwa na moderator ambae ata-control publishing, ambae ataanika allegations based on concrete evidence such as photos, texts etc
 
Reactions: BAK
Umeoona eeh!!! Mkuu Mbu na hivi bastola zilivyokuwa nje nje siku hizi wengi wataishia kuzimu.

kabisaa!....
ila bro kufumaniwa nako mnh!....jamaa eti anasema "am sorry!"
sorry for what? ...hapo unajitia mkavu tu!
 
Reactions: BAK

....ile Blog ya #ZeUtamu ndiko ilikoanzia "umaarufu" wake, sema mwishoni wakaharibu wenyewe na ma photoshop yao ya ADOBE.
 
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! eti unajitia mkavu tu hahahahaha lol!!! huku macho ukiyazungusha kama saa huku na kule 🙂🙂


kabisaa!....
ila bro kufumaniwa nako mnh!....jamaa eti anasema "am sorry!"
sorry for what? ...hapo unajitia mkavu tu![/QUOTE]
 
kabisaa!....
ila bro kufumaniwa nako mnh!....jamaa eti anasema "am sorry!"
sorry for what? ...hapo unajitia mkavu tu!

..... sorry he got caught. Not sorry for getting freaky!
 
Yes there must sufficient evidence to prove those allegations.

 
 
Reactions: BAK
..... sorry he got caught. Not sorry for getting freaky!

....ahhh, hakuwa na Plan B tu....
Ukiamua kula cha haramu, uwe na akiba ya maneno na vitendo Just incase litabumburuka!
 
...Ile #Ze utamu ilikuwa inatisha aisee ilifikia mahali mpaka Wabongo walikuwa wanaogopa kupigwa picha kwenye sehemu za kujirusha...Kuna watu nawafahamu kwa karibu kabisa (wakaka na wadada) walianikwa kule.

....ile Blog ya #ZeUtamu ndiko ilikoanzia "umaarufu" wake, sema mwishoni wakaharibu wenyewe na ma photoshop yao ya ADOBE.
 
...Ile #Ze utamu ilikuwa inatisha aisee ilifikia mahali mpaka Wabongo walikuwa wanaogopa kupigwa picha kwenye sehemu za kujirusha...Kuna watu nawafahamu kwa karibu kabisa (wakaka na wadada) walianikwa kule.

sio Unaowafahamu, "tunaowafahamu" maana ndio hao hao walioanikwa kiasi kwamba kila nikikumbukia ule mtandao naona duhh, hawa jamaa zangu walichafuka mbaya siku zile...na mtandao ule ungeendelea kidogo #asingebakimtu ! wallah...
Ndio maana najisemea haya mambo yaishie huko huko ughaibuni....#Shigongo anatutosha!
 
Reactions: BAK
...Ni kweli kabisa Mkuu watu walipumua kwa furaha na ahueni kubwa sana baada ya kujulikana kwamba mtandao ule ulikuwa umefungwa rasmi, #Ze utamu ilikuwa ni nomaaa.

 
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…