Kama unazo paswad haina tabu mkuuNi kweli juzi tu niliisearch nikaikosa kabisa aisee. Alafu Mkuu hebu nipe procedure nataka reset kila kitu kwenye iPhone 5c sasa m Ni mgeni kabisa kwa hii IOS je nikireset Ili Ianze upya kila kitu haitanishmbua hizo Ma iCloud account Na Akina itune ?Ikumbukwe kua I cloud Na itune nimekuta Ni za user wa mwanzo Ila hadi password zake ninazo
AsanteKama unazo paswad haina tabu mkuu
Inakuaje hapo Mkuu uwp Ni zipiwengi wanadiscontinue halafu wanatoa uwp app,
application ambazo zitafanya kazi kwenye vifaa vyote vya windows (PC, tablet,Mobile, gears za windows) bila kuja kama kifaa kinatumia windows mobile OS au Computer Os. Ingawa hili bado halijawa popular . ila ndio mategemeoInakuaje hapo Mkuu uwp Ni zipi
Je uwp zitafunction kwa Simu zote za zamani zilizokua Zina run OS ya window au itatulazimu kumiliki device mpya piani
application ambazo zitafanya kazi kwenye vifaa vyote vya windows (PC, tablet,Mobile, gears za windows) bila kuja kama kifaa kinatumia windows mobile OS au Computer Os. Ingawa hili bado halijawa popular . ila ndio mategemeo
Ni app ya wapenda muziki mkuu, yaani ukipita sehemu ukasikia mziki au kwenye redio unafungua app alafu app itakwambia jina la muziki na mwanamuziki alieimba.Hivi ukidanilodi shazam inakazi gani?..
Unafanyeje ili ikupatie information hiyoNi app ya wapenda muziki mkuu, yaani ukipita sehemu ukasikia mziki au kwenye redio unafungua app alafu app itakwambia jina la muziki na mwanamuziki alieimba.
ukifungua hiyo app itakupa maelekezo...kama unatumia android idownload..Unafanyeje ili ikupatie information hiyo