Shauri yako!!!

Shauri yako!!!

basi kama seth tajiri

may b maana kama mtu kazipiga kenya anglo leasing na golden bag then akaja bongo akazipiga za escrow huoni kama kawageuza viongoz wa e.africa mazuzu kama prof.muongo.
 
hapo ungecheza na brain yako tu mkuu mpka kakwambia hvo kuna tatzo heb jaribu kucheki afya yako kama upo safi msahau kabisa na ukimuona tena kimbiaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom