shauri yako

Mijitu ni mivivu hiii, yaani hapo utalima Shamba Zima peke yako mwenzio hakusaidii hata kukung'uta majani Tu. Waxuri usoni Tu hao
 
duh! ilo nalo neno,hata apo alipolala kwenyewe hana msaada...kama gunia2
 
Mijitu ni mivivu hiii, yaani hapo utalima Shamba Zima peke yako mwenzio hakusaidii hata kukung'uta majani Tu. Waxuri usoni Tu hao
Muda mwingine wanaficha na sura zao wanakuachia shamba na mipaka yake yote.
 
Jamani mbona mnawananga dada zangu kutokea karibu na ule mlima wenye theluji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…