niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
ahahahah!Umepotea njia mkuu...hili ni jukwaa la kuondoa stress bana!Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
huku umepotea njia menPostini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?
kama imekuchosha usiisome menniwaellyester1
unanichosha kusoma post yako men
hilo ni jibu mensasa kishikizo cha shati ndo uitegemea kionekane??
Postini vitu vya kujenga taifa bana. siunajua sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya maoni yenu yakoje?