Sharobaro afumaniwa akila mke wa mjeda

Wanadamu tunavyopenda story za migegedo sasa huu uzu utapa viewers nyomi hatari!!!!
 
Nimekuja mbio nikajua mtu anapigika kumbe vikatuni...
 
Halafu sharobaro wa ccm, nasema hakuna namna apigwe tuu.
 
Ajitokeze, asimame na kujionesha mbele ya mwenye mali. Alafu ajifanye bubu na kiziwi.
 
.....Watakuwa walitoka kwenye vikao vya CCM, kidume kina sare ya kijani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…