Kuna ukweli gani kati
ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya
kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na
mwana). Pia nilikwisha wai kusikia alikuwa anaigiza pamoja na mkewe. Je
kunaukweli gani alafu ukizingatia majuto kwao tanga na sharo mauti
yamemkuta akielekea tanga kwao?
Kuna ukweli gani kati ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na mwana). Pia nilikwisha wai kusikia alikuwa anaigiza pamoja na mkewe. Je kunaukweli gani alafu ukizingatia majuto kwao tanga na sharo mauti yamemkuta akielekea tanga kwao?
yeyote mwenye data hata kama wewe unazo si mbaya ukituweka wazi na sisi tuweze pata chochote.
Mbowe mtoto wa Nyerere eti?Eti Mnyika nae ni mtoto wa Mbowe.Mimi nasikia tu mtaani ni kweli jamani
mtu akishakufa utasikia mengi,mfano hili
pia inawezekana lakini tuthibitishie ili tufahamu zipi kapi na zipi chenga.