kifo kimeumbiwa mwana wa adam,kila mtu ana wakati wake maalum uliokadiriwa..sasa kwanin anapofikwa na wakati wake na kuondoka ulimwenguni tuanze kusahau kudra za mungu na kukimbilia moja kwa moja kwenye ushirikina??
Hatukatai kwamba misukule ipo,lakini ni unyonge kila siku kuiaminisha akili yetu katika upande huo