Wakati mwingine basi uwe unaficha upumbavu wako unadhani kuongea sana ndio unaonekane mjanja wa JF, mijitu mingine bana...kwa hiyo wewe huwezi kufa...njia yetu sote kila mwanadamu kaumbiwa kifo. Wewe kila sehemu ushabiki wa vyama tu. Papuluioo!!
mungu amlaze mahali pema peponi sharo millionea ebu wana jf nisaidieni naona kila mtu anaweka hizi herufi "rip" ebu sisi wa kijijini tuelewesheni na mimi ngoja niigilizie rip sharo ingawa sijui maana yake nionekane wa mujini.
Dah tumkumbuke Mungu jaman, kifo kipo karibu sana,, rest in peace sharobaro, u entertain us a lot, sichoki kukutazama especially unavyojifuta futa meeeen...