Sharo jipangeni meeeeen!!!!

Sparkle boy

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
75
Reaction score
8
Sharo kutupia pamba iliyoandikwa 'THE GRAVE DIGER'(mchimba kaburi) hii iko poa?!
 
Hiyo noma. Mwingine nilimuona amevaa T-shirt ya pink colour imeandikwa kifuani, "i am pregnant"
 
masaii mmoja alikua anauza dawa zao zile za kienyeji kaenda hotelini kuuza kakuta padri na masista wamekaa meza moja wanakula masaii kafika kawasalimu habari wakamjibu salama,masai hiko uza dawa ya kuongeza nguvu ukitumia hii mzee nakua vizuri nakutana na mama toto mambo nakua safi kabisa,padri na masista wakabaki wamepigwa bumbuwazi wasijue cha kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…