Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
Mimi sioni kwanini nikatae kumsaidia mtu ambae anahitaji msaada kwa kitu nnachokijua au ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Mtu anaandika anauza program ya kuconvert video to mp3 is that fair? Wakati zimejaa kwny net tena free. The most expensive software ninayo ni adobe cs5 extended inauzwa more than 6000usd , na fifa12 reloaded, nimezipata bure kwa nini niuze? Au mtu unajua kitu lakini mgumu kuwafundisha wenzake mpaka apewe hela. Duh? Hela huja baadae guys. Kuweni na spirit ya kushare