Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
usinunue hisa, tengeneza hisa uuze.
Si lazima useme kila kitu hata ambacho hukifaha vyema.sh. 2000 unaweza kununua hisa moja ikakupa faida ya shilingi 250 kwa mwaka mara 1'000'000/= utapata jibu. Kama unaiacha faida inanunua hisa nyingine basi baada ya miaka 15 au 20 utaajiri watu 100
Mzee risk nimehighlight hapo kama unasoma vyema. Na risk sio kuvamia kama unavyotaka kushauri. Risk inatakiwa iwe calculated. Sio unavamia risks bila diversification kesho unafilisika. Hiyo 2000 price si indication ya performance. Ili useme kama ni valuable unatakiwa uanze kusema wakati shares zinakuwa issued wao walianzia shs ngapi na wengine walianzaje kisha tunacalculate return halafu unatupa na data za dividend. Chai inafanya vizuri kwenye soko kama ilivyo pamba sasa hivi, kwahiyo issue ni ku monitor trend na kudiversify whenever possible.risk is part of business. If you hate risk then baggaroff...... Kama unataka kuwekeza inabidi kuthubutu. Hiyo 2000 ni highest price ya shares za kampuni ambazo zinafanya vizuri kama bia cement sigara benki....lakini usipeleke pesa kwenye kampuni za chai gesi nicol nk. Otherwise nunua shares za saccos 200
Asante mkuu umetusaidia na wengineSi lazima useme kila kitu hata ambacho hukifaha vyema.
Uwekezaji kwenye hisa si issue ya faida tu, unaweza pia kupata hasara pale hisa zinavyoshuka bei. Hisa inakufanya uwe part ya owner na faida ya hisa inapatikana kwa njia mbili. Moja ni kupitia gawio (dividend) na pili ni kwa kuongezeka kwa bei ya hisa (capital gain. Lakini nasisitiza, hisa kama ilivyobiashara nyingine, unaweza kupata hasara pia.
Wapi uwekeze, inahitaji thorough analysis na pia huwezi kuwekeza hapo ukaacha hapo miaka yote. Inatakiwa uwe una monitor market ukiona kuna dalili ya kule ulipowekeza kuanza kuchechemea then unauza hisa kabla ya value kuporomika na kununua pengine. Kwa nature ya soko la hisa Tanzania (DSE) ni rahisi kuona nani anafanya nini na future expectations lakini in the long-run kuforesee performance itahitaji utaalam zaidi. Ila kuna hisa za kuepuka kama NICOL na hata zile za Wakenya unahitaji kujua financial market maana zinakuwa traded East Africa kwahiyo analysis ya investment yao inaweza kukusaidia kujua what next. Ila note; With the notion of efficiency market, you can hardly predict price trends
hapo kwenye nyekundu fafanua kidogo mjpmba
Nimetoka orbit securities leo kutafuta prospectus ya Precision Air. wamenipa soft copy. Nikirudi home leo jioni nitaitindika hapa. Lakini kama kuna mtu anahitaji haraka, tafadhali weka email address yako hapa ili nii forward.
bullaabel@yahoo.co.uk, naomba niwekee mkuuNimetoka orbit securities leo kutafuta prospectus ya Precision Air. wamenipa soft copy. Nikirudi home leo jioni nitaitindika hapa. Lakini kama kuna mtu anahitaji haraka, tafadhali weka email address yako hapa ili nii forward.
Nimetoka orbit securities leo kutafuta prospectus ya Precision Air. wamenipa soft copy. Nikirudi home leo jioni nitaitindika hapa. Lakini kama kuna mtu anahitaji haraka, tafadhali weka email address yako hapa ili nii forward.
Nimetoka orbit securities leo kutafuta prospectus ya Precision Air. wamenipa soft copy. Nikirudi home leo jioni nitaitindika hapa. Lakini kama kuna mtu anahitaji haraka, tafadhali weka email address yako hapa ili nii forward.