Shares/hisa za ndege za precision

UNO

Senior Member
Feb 3, 2012
197
19
Kama kuna yeyote anayejua tafadhali tujuze. Kinachoendelea na hisa za ndege za precision ni nini? Mbona kimya? Mbona hatujaona imeingia katika soko la hisa? Au tumeingizwa mjini? Baada ya kupata certificates imekuwa kimya.....mpaka leo
 
Back
Top Bottom