Kwa nini wanaume wengi ni wasaliti?
Jawabu : kwa nini wanawake wengi ni wasaliti?
Kwa nini wanawake wanajiuza ?
Jawabu : kwa nini wanaume wananunua madada poa?
Kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
Jawabu : kwa nini ndoa za zamani zilidumu?
Kwa nini vijana wa siku hizi wengi wana vitambi?
Jawabu : hivi vitambi vinasababishwa na nini ?
Lini upinzani utachukua Nchi?
Jawabu : lini chama tawala kitaachia madaraka?
Unanipenda?
Jawabu : we unaonaje ?
Naomba ushare na wewe majibu ambayo ni maswali....