Share a coke with....

Huyu alie chapisha hapa lazima alikula rushwa tu
 
Jamani hii kweli lakini!

Au ni wale wa uchochoroni wameleta ujanja wao wa kibiashara
 
Hi Everyone....will anyone please guide me on how to have my name on coke can? please help me...thanking you in advance
 
Hi Everyone....will anyone please guide me on how to have my name on coke can? please help me...thanking you in advance

Pumbavu!! Badala ya kuhangaika Jina Lako liandikwe mbinguni, unakazania kwenye Coca-Cola!! Nenda stand huko utawakuta
 
mmmhh!!kama ni kweli,disco limeingiwa mmasai!!
 
Hi Everyone....will anyone please guide me on how to have my name on coke can? please help me...thanking you in advance<!-- google_ad_section_end -->
 
jamani nimefanya kosa kuuliza au?.....mtu ananiita pumbavu? just cause I asked? kuuliza si ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…