shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
hehehehheha ha ha chezea watoto wa kitanga..
hijabu kichwani.
kitandani uchi!! wee
hehehehheha ha ha chezea watoto wa kitanga..
hijabu kichwani.
kitandani uchi!! wee
yapi hayo sema tuMambo mazuri
itokee tu ndo nini sasa? we unaonekana mwizi mzuri sana sitaki nataka.Akha bibie...! Mie na vya watu mbalimbali labda itokee tuu....!
Wako hoi muda huu, 'cha alfajiri' nafikiri umenielewa
yapi hayo sema tu
Inaonekana ME wengi hawapendi KE wanaotumia mkorogo. Je, Kiongozi ni kwanini KE wengi wanatumia mkorogo?Hakuna mkorogo hapo mkuu safi sana
hizi night stand ziko ngapi mbona kila kukicha inazuka mpya
mshana jr vipi kaka umewaza nini hadi kunitoa huku maana nimeshtuka kukuta uzi unaonihusu mwanzo nikadhani kipenzi changu ndo kaniweka hewani kuchek vizuri jr lol.ila ahsante kwa kuniona mwaya
Narudia tena watake radhi Kiongozi.
Utamaliza mabucha wakati nyama ndio ile ile
huu udongo Mungu aliokuumbia aliutoa wapi? maana ni the finest
braza Kiwatengu plizi usinipige (najua kumtag, ila naogopa ngumi)
hapana kwenye sifa za ukweli hakuna ngumi..
Hoja yangu ya mibongebonge kaka
dalili ya mvua ni mawingu