Shangazi

Kumbe shangazi nae anajicho.
Halafu nyie simba mikia acheni kumchokoza shangazi yetu
 
MATAGA hapo mmeondoa kichwa cha Mwahija yule mwimbaji taarabu wa TOT halafu mkapachika cha auntie wetu.

kwa kweli 2020 kibarua cha kumrudisha mtu wenu jumba jeupe ni kigumu mnoo kwenu....mission impossible!
Hapana huyo ni shangazi kweli hawaja muwekea kichwa ,Wame Edit pochi
 
Ukweli ni kwamba ame amka kuvaa hivyo nasio kwamba anania ya kuunga mkono juhudi za meko
 
Hiyo picha kaweka mweyewe kule Twita mbona!!
Ameikata, ni kubwa walikuwa na akina Lowasa na wengineo. kama unaweza nenda twita utaiona akiwa full na wengine wengi tu wamevaa za CCM
 
pale ilikuwa photoshop
Hiyo picha kaweka mweyewe kule Twita mbona!!
Ameikata, ni kubwa walikuwa na akina Lowasa na wengineo. kama unaweza nenda twita utaiona akiwa full na wengine wengi tu wamevaa za CCM
 
Shangazi yao mavazi yamempendeza sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…