Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,500
- 1,303
Salaam kwenu wote
Nina ndugu yangu ana kijana wake wa kiume ambaye mwaka huu atamaliza darasa la saba na takuwa na 11-12 years.
Shida iliyopo ni kujua shule atakayokwenda huyu kijana baada ya hapo, lengo ni kumpeleka shule ya boarding yenye maadili mazuri ya Kitanzania na jamii kwa ujumla, yenye mfumo mzuri wa utoaji wa elimu itakayo weza kumjenga mtoto kuweza kujiamini na kujitegemea baadae katika ushindani wa ajira.
Swali, kuna hii shule ya wavulana ya Shamsiye, je kuna mtu anaifahamu vizuri aweze kunipa mwanga? Vipi ufundishaji wao, matokeo, vijana waliosoma hapo kama umewahi kutana nao unawaonaje?
Naomba msaada wenu.
NB:
Nimeitembelea na kuongea na mwalimu mmoja lakini ningependa mawazo tofauti kutoka kwa jamii kwa upana wake.
Natanguliza shukurani.