Shamsa Kombo mke wa Babu Tale hana kwao? Mbona kazikwa ukweni jamani?

Usitake kupangia watu mkuu, we unafikiri huyo marehemu hana ndugu !!!

Halafu kwa mila na desturi za jamii nyingi za kiafrika mwanamke akishaolewa anakuwa transferred kwenda ukoo alioolewa hivyo hata akifa ni wajibu wa ukoo alioenda kumstiri katika ardhi yao.

We kama hutaki kuzikwa kwa mmeo huo ni utaratibu wako., uandike kabisa katika Wosia wako wa mwisho ili usije kutesa watu
haya mambo yanategemeana na mila..desturi na tamaduni watu wa ukoo fulani wamejiwekea..ni sehemu nyeti sana na sherehe muhimu sana ya mtu lakini inazuaga mikwaluzo mikali sana
 
Akili yako ni rafiki wa akili yangu ,mimi hata msiponizika hakuna tabu ,kuzikwa nizikwe nilipofia hakuna haja ya kupoteza gharama halafu sitaki mbwembwe kupoteza muda Mara naagwa ,,life goes on
Ukifa umekufa tu hata uzikwe mars hakubadilishi kuwa umekufa. Uwa ninashangaa mtu kafa akiwa marekani watu wanachangisha zaidi ya milioni ishirii kumleta azikwe tanzania, sijawahi kuelew hili jambo. Mimi nikifa nizikwe popote tu hakuna kutiana gharama
 
Akili yako ni rafiki wa akili yangu ,mimi hata msiponizika hakuna tabu ,kuzikwa nizikwe nilipofia hakuna haja ya kupoteza gharama halafu sitaki mbwembwe kupoteza muda Mara naagwa ,,life goes on
Kweli kabisa mara kuagwa, sijui washone sale, yani ni kupoteza muda ukifa safari yako imeishia hapo unazikwa watu wanaendelana mambo mengine
 
Soma kwa utulivu utaelewa nilichoandika.

Salma ni mtu.
Kama anakubali kuitwa kwa ubini wa mumewe; hiyo ni yeye.
Mimi nimesema hivii: Kwa mujibu wa SHERIA YA KIISLAM hiyo hairuhusiwi!

Mfano, ni kama vile unaona kuna baadhi ya waislamu ni wezi, je, unajua uislam unasemaje kuhusu wizi..?!
samahani kama nimekukwaza mkuu.
 
Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo?

Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake? Au ndio mila za kisiasa kujiita Mrs abeche ndio umeukataa ukoo na kwenu? Au ni yatima au kwao hakuna makaburi ya familia?

Wanawake hebu mtathmini hili jambo, linahitaji tafakuri ya kina. Sio feminist au Mbeijing ila hili jambo la kukimbizwa kuzikwa mwitongo kwa mume halafu anakuacha huko siku hiyo ya mapishi anarudi tauni kula pilau sio kabisa.

Najua huyu sio wa kwanza wala wa mwisho ila ni muda wa kuanza mabadiliko kuhusu utaratibu huu. Kila mtu azikiwe kwao!

RIP Shamsa Kombo na wanawake waliozikwa kwenye makaburi ya familia za waume zao!
Mmebadilisha mpaka sasa wanaume nao wanaolewa na kuingiliwa kingono na wanaume wenzao, mtuacheeeee na ushetani na uhuni wenu kama hujui thamani na maana ya ndoa ulaaniwe
 
Think out of the box guys, kwani mila na desturi ngapi zimeshatenguliwa na maisha yanaendelea?.

Just think of your sister or daughter for a moment foresaking her identity in the name of marriage!
My mother my grandmother my great grandmother abandoned their maiden names for the sake of marriage and I wont mind my daughters, granddaughters and great grandaughters adopting their husbands' surnames, ndiyo ndoa hizo hata Wamarekani mnaowaiga kwa kila kitu wana kina Laura Bush, Hillary Clinton etc etc. Lucifer followers rebellius women stop your agenda to destroy the family unit and marriage
 
Usitake kupangia watu mkuu, we unafikiri huyo marehemu hana ndugu !!!

Halafu kwa mila na desturi za jamii nyingi za kiafrika mwanamke akishaolewa anakuwa transferred kwenda ukoo alioolewa hivyo hata akifa ni wajibu wa ukoo alioenda kumstiri katika ardhi yao.

We kama hutaki kuzikwa kwa mmeo huo ni utaratibu wako., uandike kabisa katika Wosia wako wa mwisho ili usije kutesa watu
Gud
 
Kiutaratibu mwanamke akishaolewa anakuwa ametoka kwenye mikono ya wazazi jumla...baada ya hapo mumewe ndio anakuwa kama baba yake na hata jina hubadilika na kuitwa lile la ukoo wa mume.

Hivyo hata mwanamke akifa anayepanga na kuamua azikwe wapi ni mumewe na sio wazazi wake au nduguze!! Otherwise pawe na wosia unaoelekeza vinginevyo.
Sheria ya kiislam imejipambanua vizuri sana, mkifunga ndoa ni uhai tu na wala hakuna haja ya kubadilisha Jina wala ukoo, mmojawapo akitwalia kila mtu kwao kwao! labda awe busara tu ya ndugu wa marehemu mke. Mke akifariki dunia, Mume anawapa mwili ndg wa mke! IMeisha hiyoooo
 
Back
Top Bottom