Shamsa Kombo mke wa Babu Tale hana kwao? Mbona kazikwa ukweni jamani?

Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo?

Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake? Au ndio mila za kisiasa kujiita Mrs abeche ndio umeukataa ukoo na kwenu? Au ni yatima au kwao hakuna makaburi ya familia?

Wanawake hebu mtathmini hili jambo, linahitaji tafakuri ya kina. Sio feminist au Mbeijing ila hili jambo la kukimbizwa kuzikwa mwitongo kwa mume halafu anakuacha huko siku hiyo ya mapishi anarudi tauni kula pilau sio kabisa.

Najua huyu sio wa kwanza wala wa mwisho ila ni muda wa kuanza mabadiliko kuhusu utaratibu huu. Kila mtu azikiwe kwao!

RIP Shamsa Kombo na wanawake waliozikwa kwenye makaburi ya familia za waume zao!

unajitekenya na kucheka mwenyewe!

Wewe unajua kwa wakwe zako ni huko porini na mume wako kwao ni nyumba za udongo na ni warina asali hawana akazi ya kudumu ndio maana unaaka kuzikwa kwenu lakini unatumia gia ya wote watake hivyo, ume nooo
 
Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo?

Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake? Au ndio mila za kisiasa kujiita Mrs abeche ndio umeukataa ukoo na kwenu? Au ni yatima au kwao hakuna makaburi ya familia?

Wanawake hebu mtathmini hili jambo, linahitaji tafakuri ya kina. Sio feminist au Mbeijing ila hili jambo la kukimbizwa kuzikwa mwitongo kwa mume halafu anakuacha huko siku hiyo ya mapishi anarudi tauni kula pilau sio kabisa.

Najua huyu sio wa kwanza wala wa mwisho ila ni muda wa kuanza mabadiliko kuhusu utaratibu huu. Kila mtu azikiwe kwao!

RIP Shamsa Kombo na wanawake waliozikwa kwenye makaburi ya familia za waume zao!
Nadhan ww ni single mother!! Na hii akili yako nawaombea Mungu watoto wako usije kuwapotoshaa!!
 
Inasikitisha sana, okay muanze kuongelea na suala la mahari sasa tuache kulipa tuchukuane tu tuoane basi tuishi au hilo hulioni kama ni mfumo mbaya ni kama unanunuliwa.
 
Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo?

Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake? Au ndio mila za kisiasa kujiita Mrs abeche ndio umeukataa ukoo na kwenu? Au ni yatima au kwao hakuna makaburi ya familia?

Wanawake hebu mtathmini hili jambo, linahitaji tafakuri ya kina. Sio feminist au Mbeijing ila hili jambo la kukimbizwa kuzikwa mwitongo kwa mume halafu anakuacha huko siku hiyo ya mapishi anarudi tauni kula pilau sio kabisa.

Najua huyu sio wa kwanza wala wa mwisho ila ni muda wa kuanza mabadiliko kuhusu utaratibu huu. Kila mtu azikiwe kwao!

RIP Shamsa Kombo na wanawake waliozikwa kwenye makaburi ya familia za waume zao!
Akili za Single Mother! If no so basi kwenu Mama yako ndo mwenye kauli kuliko baba yakoo!!
 
Maswali ya kujiuliza ni mengi sana
Shamsa si muislamu? iweje azikwe na jeneza?
Kuzika bila sanduku ni utamaduni wa maeneo ya jangwani kutokana na uhaba wa miti hivyo ikajenga utamaduni. Kamavile ambapo mtu akifia porini na hauna jembe la kuchimba shimo basi unafunika mwili na mawe ili usijeliwa na wanyama wa mwituni.

Elewa maana ya utaratibu usipende kuclamisha mambo ambayo haujaelewa.
 
Wee hebu subir mr machache si nilisikia kuwa wakati wa kutak kuchukua fursa kwa Dc deal ikamungukia uwoya kulingana na agent wake, kumbe na Dc nae alipita nae hiv, mmmmmh n ndefu mno tobaaaah
DC alishapita na Mr machache siku nyingi Sana ndo wakaja hao kina Uwoya. Mr machache mwenyewe alikuwa na connection ya grid ya taifa
 
Kuhus machache Grid ya Taifa alikuwa ndan ya luku mda mrefu sana, duuuuuuuh aseeeeeh dunia imeisha khaaaah.
 
hapa nacheka kuna mkaka anasema ana fight awe na pesa ili awale wema, jokate, na uwoya, na anasema lazma atmize azma hyo, yaan vijana wananiacha hoi kwa kweli.
Anataka kuunganishwa na gridi ya taifa hao Wana jali hela tu, since si wazima they don't care. Huyo kijana anasikitisha sana
 
Think out of the box guys, kwani mila na desturi ngapi zimeshatenguliwa na maisha yanaendelea?.

Just think of your sister or daughter for a moment foresaking her identity in the name of marriage!
Ukifa umekufa tu hata uzikwe mars hakubadilishi kuwa umekufa. Uwa ninashangaa mtu kafa akiwa marekani watu wanachangisha zaidi ya milioni ishirii kumleta azikwe tanzania, sijawahi kuelew hili jambo. Mimi nikifa nizikwe popote tu hakuna kutiana gharama
 
Naomba kuchangia kitu.iko hivi kiuslamu mtu anazikwa popote pale hata angekufa ulaya angezikwa huko huko ulaya.
 
Back
Top Bottom