Chisamba
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 1,517
- 777
haya mambo yanategemeana na mila..desturi na tamaduni watu wa ukoo fulani wamejiwekea..ni sehemu nyeti sana na sherehe muhimu sana ya mtu lakini inazuaga mikwaluzo mikali sanaUsitake kupangia watu mkuu, we unafikiri huyo marehemu hana ndugu !!!
Halafu kwa mila na desturi za jamii nyingi za kiafrika mwanamke akishaolewa anakuwa transferred kwenda ukoo alioolewa hivyo hata akifa ni wajibu wa ukoo alioenda kumstiri katika ardhi yao.
We kama hutaki kuzikwa kwa mmeo huo ni utaratibu wako., uandike kabisa katika Wosia wako wa mwisho ili usije kutesa watu