shampoo gani hiyo?. shampoo inayo tumiwa na wakina mama walio wengi inayo uzwa bei ya juu ni movit na tressa. bei ya movit ni 8500 hadi 9000 na tressa 12000/-kwa lita 5 zikiwa na seal yake kwa hapa dar. shampoo nyingine zote ni chini ya hapo. sasa hilo toleo jipya unalosema wewe ni lipi?. naomba unipe jina la hiyo shampoo mkuu. nataka nikaitafute ili nijue bei zake ndo tufanye biashara. mia