Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Shamira Mshangama, akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Shamira ameshiriki kama Mgeni wa heshima katika kufungua kikao cha Baraza la UVCCM Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga kilichoongozwa na Mwenyekiti wake Mwanaisha Rashid.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mshangama akiwa anafungua kikao hiko cha Baraza amechangia fedha kwa ajili ya kusapoti ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM katika wilaya ya Mkinga.
Mwisho, amewasisitiza kuwa pamoja na kazi zote tunazofanya lakini viongozi tunajukumu la kuzingatia ujenzi wa CCM na Jumuiya zake.