Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
- Thread starter
-
- #61
Hivi wakuu, wakati hawa wakipopoana huko Dodoma, vi wapi vyama vya upinzani, ilvi vitake advantage of this window of opportunity?
Unajua hao walioko CCM hata wakitaka kuondoka, waende wapi? Kwenye chama kipi hasa kilicho makini kuleta mabadiliko?
Angalia, kwa mfano, wakati haya yanatokea, Maalim Seif alikuwa Ikulu Zanzibar 'wakinywa kahawa' na Raisi Karume...wanajadili umuhimu wa amani na maelewano!
Mkulu wetu Zitto, ambaye tunamwamini angeweza walau kupaza sauti mjengoni, ndo yupo kwenye sijui international parliamentary meeting sijui nini-alituambia mwenyewe hapa. Mtu unajiuliza, hivi hawa viongozi wa upinzani wanayaona haya kweli? wanajua ni wakati gani wa kutake action na kumobilise watu? Au ndo bado wana ile kasumba kusubiri wakati wa uchaguzi huku wakijua kua kwa mbinu hiyo hakuna kitakachobadilika?
Mi nshachoka sasa!
Unajua CCM itapeta milele kwa sababu vyama vya upinzani havifiki vijijini, kumbuka huko vijijini hakuna access ya magazeti hakuta Tv kwa sababu umeme haufiki huko redio ni moja tu tena inapatikana kwa mzee mmoja pale kijijini kwa sababu ni tajiri ana Ng'ombe. Nikamuuliza mzee mmoja nani ni waziri mkuu wa Tanzania akasema Mzee John Samwel Malecela kwa sababu alikwenda kwenye ufunguzi wa bomba la HESAWA wakati akiwa Waziri mkuu. CCM itapeta huko vijijini kwani vyama vya upinzani havijafika huko na hawajui ninini kinachoendelea huko Dodoma kwa sasa.

Probably, we put our hopes so high on these guys, I mean we are simply expecting too much of them, which is why we keep on being disappointed every day. Isn't time that we stopped putting our hopes on them? Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?
To me I would rather say shame on us for continuing to bank on people who are not bankable. I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!
Amani haipatikani bali kwa ncha ya upanga
Mimi nakubaliana sana na wale wanao propose solution kwa nchi yetu. mnaojidai sijui na demokrasia, kwa nchi hii hakuna kitu kama hicho bana. kufikiri sisiem inakwenda kujifia natural death, ni kujidanganya. kufikiri upinzani uliopo, au utakaokuja, kwa mazingira haya utaleta mabadiliko tuyatakayo ni ndoto za alnacha. heri baadhi yetu, wachache though tunaofikiri kuingia msituni kutatatua tatizo la nchi yetu. mtasema ni mawazo ya mtu aliechanganyikiwa, but a day wil come when we wil prove you wrong!
mkjj, hata kama ni msitu wa pande, potelea mbali. uanamapinduzi ni pamoja na kujitoa. lengo ni kufika kaanani, ukifanikiwa kufika salama ni heri. ukidondoka njiani pia poa tu, kifo chako kitatumika kama mbolea katika safari. its all about believing in your cause brother!
siasa za mapigano zimepitwa na wakati na gharama yake ni kubwa kweli. Kama tumeshindwa kutumia siasa za ushawishi na msukumo hatuwezi kwenda msituni believe me. Kama kina Zitto, Slaa, Lipumba na Seif na wenzao wameshindwa kuandamana hapo Ikulu ya Dar wakasalimika ndio watu waende msituni? nani aende Mbowe?