Ndio baby."Baby nikwambie kitu"
Hii ni kwere na shambulizi hatari sana kwa wanaume
Weka ya wa mikoani pia tuone tofautiWahuni Sio watu wazur View attachment 1112686
Weka ya wa mikoani pia tuone tofauti
Umeona hatar fayaaa ooohDuh ni balaa
Baby mama wangu huwa haniambii hayo maneno. Kama ana shida , siku zote yupo straightNdio baby.
Ngoja nikuangalie kwenye glasi nione tabasamu lako jinsi unavyoniambia
Hapo umepata mzee baba.Mwanamke wa kuzunguka zunguka ananichosha akili hata Mimi.Baby mama wangu huwa haniambii hayo maneno. Kama ana shida , siku zote yupo straight
mfano
Babe nina shida ya laki mbili,
Babe niazime Lakin nne nitakurudishia mwiaho mwezi,
Babe nahitaji hela ya gesi n.k n.k n.k