Shambulio lingine London

Shambulio lingine London

Nchi za ulaya zilitumwa na waarabu wapinzani wa Libya na Iraq kuwaondoa madikteta kwa malipo ya mafuta. Wamesaidia kuwaondoa madikteta kama Sadam na Gaddafi, lakini wao bado wanachinjana kwa ugaidi kama mangombe....waarabu pumbavu kabisa. Alafu takataka kama nyiye mnafwata dini yao ya uislamu!

Vita haijazaa wakimbizi, bali imezaa magaidi na wavamizi. Mbona hawakimbilii Saudia au Kuwait au Qatar au iran au Zanzibar ushenzini kwenu?
Nchi za Ulaya haziwezi kutumwa na Waarabu wakapigane vita, never, huo ni ujuha wako tu. Nchi za Ulaya huingia vitani kwa maslahi yao tu, period. Magaidi na Wakimbizi ndio matokeo na muendelezo wa vita hivyo, wamelikoroga wacha walinywe, na wewe kibaraka wa wazungu uache kulialia wakati wanaume wakiwa kazini!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wakatoliki sio Wakristo? chuki zako za kipumbavu zimekutia upofu.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Unasema wakatoliki siyo wakristo lakini husema jibu mbadala kwamba wao wanajitambua kama dini gani! Ni sawa na kusema Shia siyo waislamu. Wewe unapaswa kuchukiwa kwa upumbavu wako. Sijui kwanini hutambui kwamba ni vema bora husichangie huo ujinga wako JF. Unapaswa huwe banned kwa upumbavu na ujinga!
 
mimi huwa sielewi mbona hawa waislamu hupenda kuishi kwa makafiri wakati kuna nchi nzuri kama Saudia
Hapo makafiri pia wako nchi za kiislamu wamejaa tele.Binadamu anazaliwa na kuishi kokote.Usitetee ugaidi,huu ni ugaidi hata kama aliyefanya ni mwrnzetu katika Bwana.
 
Ana haki kabisa ya kuishi huko kama wazawa wengine ila tu afate taratibu na sheria za nchi husika vinginevyo ahamie sehemu ambayo taratibu na sheria zinaendana na anavyotaka yeye. .
Hao waliogongwa na huyo Jigaidi la kikristo wamevunja sheria gani.Watu wako shughuli zao za kawaida,yeye enda wagonga,na hivyo kakamatwa,atakoma kuwa Gaidi.
 
Asiyemuamini Yesu naye ni Kafiri kwa Wakristo.
Gaidi la kikristo,linalomuamini Yesu,ndio limefanya mauaji.Zamani magaidi wa kikristo yakijificha katika kufanya ugaidi,Mungu sasa amewaumbuwa,wanaanza kujulikana wazi.Kama yule gaidi mkristo mzungu,aliyeuwa wakristo wenzake weusi,kanisani.
 
Wewe kweli bweha wa kukariri Quran. Uwezo wako wa kusababu ni mdogo na hauko up-to-date na wakati, sawa sawa na hupo kizani kama mtume wako.

Wewe aliyekwambia makafiri wengi wanaishi nchi za waislamu nani? Wewe unafikiri waislamu wanapenda makafiri waishi Saudia Arabia? Huwezi kuta kanisa ata moja Saudia, badala yake misikiti imejaa katika nchi za kikristo ili mbong'oebong'oe!

Kwa taarifa yako Vatican ni kwa dhehebu la Roman Catholic siyo wakristo wote. Kama ni kuzuri, basi kuzuri kwa wakatoliki siyo wengine. Wacha upumbavu!
Wazungu wamejaa tele nchi za kiarabu,na wako tayari kutumwa na warabu,kuliko kuishi kwao.
 
Nchi za ulaya zilitumwa na waarabu wapinzani wa Libya na Iraq kuwaondoa madikteta kwa malipo ya mafuta. Wamesaidia kuwaondoa madikteta kama Sadam na Gaddafi, lakini wao bado wanachinjana kwa ugaidi kama mangombe....waarabu pumbavu kabisa. Alafu takataka kama nyiye mnafwata dini yao ya uislamu!

Vita haijazaa wakimbizi, bali imezaa magaidi na wavamizi. Mbona hawakimbilii Saudia au Kuwait au Qatar au iran au Zanzibar ushenzini kwenu?
Ugaidi siku zote tumasema umeanzishwa na nchi za magharibi,na wanajificha kwa kusema ni waislamu ndio magaidi.Sasa Mungu,anawaumbuwa kwa kipindi kifuipi tu,kumetokea matukio yakudhihirisha:
1:Nchi za magharibi,kuangusha ndege ,zinazokwenda kuwapiga magaidi wa Syria
2:Nchi ya magharibi kuwqtumia magaidi kushambulia nchi kadhaa
3:Nchi ya magharibi kupeleka magaidi Urusi.
4:Urusi kuwatumia Taliban,kujibu mapigo.
5.Gaidi la kizungu mkristo,kuwauwa wakristo weusi kanisani.
6:Gaidi mkristo kumuwa msichana wa kiislamu.
7.Gaidi mkristo ,kuwogonga waislamu wakitoka msikitini nk,matukio ni mengi yanayofanya na hawa magaidi wa kikristo.
 
Unasema wakatoliki siyo wakristo lakini husema jibu mbadala kwamba wao wanajitambua kama dini gani! Ni sawa na kusema Shia siyo waislamu. Wewe unapaswa kuchukiwa kwa upumbavu wako. Sijui kwanini hutambui kwamba ni vema bora husichangie huo ujinga wako JF. Unapaswa huwe banned kwa upumbavu na ujinga!
inaelekea unaweza kusoma ila kuelewa ndio shida, nimekuuliza kama Wakatoliki sio Wakristo? ..au hiyo question mark huielewi maana yake? Ngoja nikupe darasa kidogo, ukiona hii alama '?' basi ujue mtu anauliza. Punguza chuki zako za kipumbavu japo kidogo utaongeza uelewa wako. Utaelewa kuwa Waarabu ni wananchi na raia halali wa nchi mbalimbali hapa duniani, kama ilivyo kwa Wazungu walivyo raia pia katika nchi za Kiafrika, na Waafrika walivyo huko Marekani, Ulaya na Asia. Ukitaka Waarabu wote warudishwe Arabuni, itabidi na Wazungu wote warudishwe Ulaya, kama wale walioko South Africa, Angola, Msumbiji na hata wale walioko Marekani pia wote wana asili ya Ulaya, itabidi nao waondolewe kule Marekani wabakishwe Wahindi Wekundu tu kwenye nchi yao, Waafrika wote nao waondolewe kutoka Marekani, Ulaya, Arabuni ili warudishwe Afrika. Hizo ndio akili zako za kijuha zinavyokutuma, sidhani kama mtu mwenye akili timamu za kawaida, hata mpumbavu, anaweza kuwa na akili hizi ulizonazo wewe! Pole sana.
 
Kwa mfano nchi zipi za kiarabu wazungu walipojaa? Toa mifano siyo kubwabwaja tu!
Nenda kaangalie Dubai uone wazungu walivyoshamiri mpaka wanafanya mashindano ya Golf ya dunia, kaangalie Abu dhabi, Qatar, Bahrain, Iran, wamefungua mpaka makanisa na masinagogue ya kiyahudi, hakuna anaewasumbua, kuna nchi za Kiislam ingawa sio za Kiarabu kama Malaysia, Indonesia nk wazungu wamejaa tele na wanafanya biashara zilizoshamiri kwa amani kabisa. Tatizo ni wewe na akili zako finyu, chuki za kidini zinakufanya usione kitu zaidi ya Waarabu wachache walioko Ulaya!
 
Ugaidi siku zote tumasema umeanzishwa na nchi za magharibi,na wanajificha kwa kusema ni waislamu ndio magaidi.Sasa Mungu,anawaumbuwa kwa kipindi kifuipi tu,kumetokea matukio yakudhihirisha:
1:Nchi za magharibi,kuangusha ndege ,zinazokwenda kuwapiga magaidi wa Syria
2:Nchi ya magharibi kuwqtumia magaidi kushambulia nchi kadhaa
3:Nchi ya magharibi kupeleka magaidi Urusi.
4:Urusi kuwatumia Taliban,kujibu mapigo.
5.Gaidi la kizungu mkristo,kuwauwa wakristo weusi kanisani.
6:Gaidi mkristo kumuwa msichana wa kiislamu.
7.Gaidi mkristo ,kuwogonga waislamu wakitoka msikitini nk,matukio ni mengi yanayofanya na hawa magaidi wa kikristo.
Ni chakushangaza sana nyinyi waislamu mnafikiri kila mzungu ni mkristo, wakati wengi wao hawa amini biblia na siyo wakristo. Wazungu wenye kufwata ukristo ni wachache sana na hawazidi asilimia 20.
Ukristo ulaya zamani siyo sasa..someni historia ya ukristo ulaya siyo kubwabwaja bwabwaja. Nchi za ulaya hazina udini au kulazimishwa kuwa mkristo kama nchi za kaarabu.

Yule aliye gonga watu msikitiwa inawezekana hata so mkristo na hata biblia haiamini! Kufwata ukristo ni hiari au chagua la mtu siyo lazima kama uislamu ambao mtoto anarithi kwa baba.
 
Back
Top Bottom